Lesson 4: Numbers and Age Flashcards
1
Q
One
A
Moja
2
Q
Two
A
Mbili
3
Q
Three
A
Tatu
4
Q
Four
A
Nne
5
Q
Five
A
Tano
6
Q
Six
A
Sita
7
Q
Seven
A
Saba
8
Q
Eight
A
Nane
9
Q
Nine
A
Tisa
10
Q
Eleven
A
Kumi na Moja
11
Q
How do you say “How old are you?” in Kiswahili?
A
Una Miaka Mingapi?
12
Q
Translate “Nina Miaka Thelathini” in English?
A
I am 30 years old
13
Q
50,000
A
Elfu Hamsini
14
Q
120,000
A
Mia Moja na Ishirini Elfu
15
Q
567,300
A
Mia Tano na Sitini na Saba Elfu, Mia Tatu