Lesson 8 Exercise 10 - Ma Class Flashcards
Translate into Swahili:
The child has nice eyes and big ears.
Mtoto ana macho mazuri na masikio makubwa.
Translate into Swahili:
Teachers have sharp eyes and wide ears.
Walimu wana macho makali na masikio mapana.
Translate into Swahili:
The dog has a nice name.
Mbwa ana jina zuri.
Translate into Swahili:
The question is difficult but the answer is easy.
Swali ni gumu lakini jibu ni rahisi
Translate into Swahili:
Old men discuss (jadili) important (muhimu) matters.
Wazee hujadili mambo muhimu.
Translate into Swahili:
The women with big boxes have good news.
Wanawake wenye masanduku makubwa wana habari nzuri.
Translate into Swahili:
Small children have water, mothers have milk.
Watoto wadogo wana maji, mama wana maziwa.
Translate into Swahili:
Bananas and fruits; houses and doors; fields and grass.
Ndizi na matunda; nyumba na milango; mashamba na majani.
Translate into Swahili:
Big stones are few but small are many
Mawe mkubwa ni machache lakini mawe madogo ni mengi.
Translate into Swahili:
Eyes and ears are wonders; rain and rivers also.
Macho na masikio ni maajabu; mvua na mito pia.