Lesson 4 Exercise 4 - The Swahili Adjective Flashcards
1
Q
Make this plural:
Mpishi ni mganga hodari na kipofu ni mtu mzuri
A
Wapishi ni waganga hodari na vipofu ni watu wazuri
2
Q
Make this plural:
Mgeni ni mwanamke mzuri na ni mke hodari
A
Wageni ni wanawake wazuri na ni wake hodari
3
Q
Make this plural:
Mzee ni mlevi mkubwa na msichana ni mwanamke mdogo.
A
Wazee ni walevi wakubwa na wasichana ni wanawake wadogo
4
Q
Make this plural:
Mwizi ni mwerevu na ni mtu mwongo na mbaya
A
Wezi ni werevu na ni watu waongo na wabaya
5
Q
Make this plural:
Mwalimu ni mtu mwema na ni baba mzuri
A
Walimu ni watu wema na ni baba wazuri
6
Q
Make this plural:
Mtumishi ni mtu mfupi na mwerevu
A
Watumishi ni watu wafupi na werevu