Lesson 2 Chapter 1 Flashcards
Shikamoo?
Polite greeting
Marahaba
I accept your respect ( standard answer to shikamoo)
Habari za asubuhi?
News of the morning?
Habari za mchana?
News of noon (midday)?
Habari za jioni?
News of afternoon/evening?
Habari za usiku
News of the night?
Habari?
News?
Habari gani?
Which news?
Habari yako/zako?
Your news?
Habari zenu?
Your news (asking more people)?
Habari za nyumbani?
News of home?
Habari za kwako?
News of your place?
Habari za safari?
News of the journey?
Habari za kazi?
News of work?
Habari za hapa?
News of here?
Habari za huko?
News of there?
Habari za leo?
News of today?
Habari za watoto?
News of the children?
Nzuri/nzuri tu/ nzuri sana
Fine/ just fine/ very fine
Njema
Fine
Salama
Fine
Safi (sana)
(very) fine/great
Na wewe ye?
And you?