Chapter 2 lesson 3 Flashcards
Dirty
-chafu
Clean
Safi
Dirty room
Chumba kichafu
clean room
chumba safi
heavy
-zito
difficult, hard
-gumu
soft
laini
heavy bags
mifuko mizito
Swahili is difficult
Kiswahili ni kigumu
soft pillow
mto laini
sweet, nice (food)
-tamu
bitter, sour, acid
-chungu
dry
-kavu
nice/sweet tea
chai tamu
sour fruit
tunda chungu
dry country
nchi kavu
dry country
nchi kavu
healthy, grown up, adult
-zima
great, important, main
-kuu
I am fine
mimi mzima
I am fine
mimi mzima
capital city
mji mkuu
strict, sharp, fierce, wild, vicious
-khali
vicious dog
mbwa mkali
many
-ingi
many people
watu wengi
many shops
maduka mengi
other, some
-ingine
few
chache
other people
watu wengine
few people
watu wachache
new
-pya
new people
watu wapya
various, different
mbalimbali
different
tofauti
various things
vitu mbalimbali
different things
vitu tofauti
for free, for nothing, useless
bure
certain, unnamed
fulani
free food
chakula bure
certain person
mtu fulani
certain thing
kitu fulani
important
muhimu
special
maalum
important person
mtu muhimu
special food
chakula maalum
important words
maneno muhimu
problem
shida/-
problem
tata/ma-
problem
tatizo/ma-
no problem
hamna shida
no problem
hakuna matata
no problem
hakuna matatizo