Greetings Flashcards
how are you? / what news?
habari gani?
hello
jambo
what’s up?
mambo
cool
poa
me, I
mimi
ya’ll
nynyi
us, we
sisi
them, they
wao
you
wewe
him/ her, he/she
yeye
to be called
kuitwa
to be happy, rejoice
kufurahi
to meet
kuonana
news
habari
good, nice, beautiful
- zuri
to know
kujua
to say ‘hodi’
kupiga hodi
to say, speak
kusema
to come out of, come from, go out
kutoka
name
jina
to tell, inform
kuambia
to write
kuandika
to forget
kusahau
to help
kusaidia
to remember
kukumbuka
to talk with
kuongea na
to like or love
kupenda
to please
kupendeza
or
au
not yet
bado
friend
rafiki
very, a lot, very much
sana
okay or equal, same, similar, alike
sawa
and, with
na
ready
tayari
for or towards, by means of
kwa
because
kwa sababu or kwa maana
that (ex. he said that)
kwamba
but
lakini
to ask (a question), to question
kuuliza
to be
kuwa
to be able
kuweza
work
kazi
and then, afterwards
kisha
conversation (plural), discussion
mazumgumzo
game
mchezo
gift
zawadi
to greet or to get up early
kuamkia
to call
kuita
and so, well then
basi
greetings
salamu