Bible Teachings 2 Flashcards
to tell or inform
kuambia
to die
kufa
to wake up
kuamka
to understand
kufahamu
to follow
kufuata
to turn around
kugeuza
to destroy or spoil
kuharibu
to try hard
kujitahidi
to learn
kujifunza
to forgive
kusamehe
to look at, gaze
kutazama
to guard or protect
kulinda
effort, energy
bidii
everlasting, continually
daima
blood
damu
efficient, able, strong, clever, brave or courageous
hodari
to guess
kukisia
to compel
kulazimisha
to talk with
kuongea na
to forgive
kusamehe
to put or place
kuweka
to agree or accept
kukubali
and so, well then
basi
hall, palace
jumba
quantity or amount
kiasi
a blind person
kipofu
book
kitabu
purpose
kusudi
great, main, important
-kuu
fat or oil
mafuta
end, conclusion
mwisho
strength or power
nguvu
way, path or road
njia
clean or pure
safi
farm or field
shamba
trustworthiness
uaminifu
freedom
uhuru
Islam
Uislamu
Christianity
Ukristo
unity
umoja
love
upendo
through, up to
hadi
for or towards, by means of
kwa
that
kwamba
truth, true
kweli
necessary
lazima
forever
milele
end, conclusion
mwisho
and, with
na
new
-pya
voice, sound
sauti
farm or field
shamba
badness or evil
ubaya
unity
umoja
love
upendo
open, plain or clear
wazi
affection
shauku
angel
malaika
annointed one
mtiwa-mafuta
apostle
mtume
Armageddon
Har-Magedoni
attitude
mtazamo
Babylon
Babiloni
Babylon the Great
Babiloni Mkubwa
battle or fight
pigano
blessing
baraka
Christiandom
Jumuiya ya Wakristo
Christ’s presence
kuwapo kwa Kristo
Creator
Muumba
death
kifo (mauti)
demons
roho waovu
destruction
uharibifu
devil
ibilisi
disciple
mwanafunzi
divine qualities
sifa za kimungu
earthquake
tetemeko la nchi
Egypt
Misri
endurance
uvumilivu
everlasting life
uzima wa milele
faith
imani
flock
kundi
follower
mfuasi
forgiveness
msamaha
generation
kiazi
generosity
ukarimu
God
Mungu
godly devotion
ujitoaji kimungu
goodness
wema
government
serikali
great crowd
umati mkubwa
Greece
Ugiriki
happiness
furaha
hatred
chuki
heading
kichwa
holy one
mtakatifu
holy spirit
roho takitifu
hope
tumaini
hospitality
ukarbisheni-wageni
hour
saa
humility
unyenyekevu
integrity
utimilifu
Jerusalem
Yerusalemu
Jesus
Yesu
Jehovah
Yehova
Jew
Myahudi
joy
shangwe
justice
haki
kindness
fadhili
king
mfalme
kingdom
ufalme
knowledge
ujuzi
law
sheria
life
uhai
little flock
kundi dogo
long-suffering
ustahimilivu
loyalty
ushikamanifu
mankind
binadamu
Medo-Persia
Umedi na Uajemi
mercy
rehema
messiah
mesiya
mildness
upole
modesty
kiasi
neutrality
kutokuwamo
new system
mfumo mpya
other sheep
kondoo wengine
paradise
paradiso
patience
subira
peace
amani
perfection
ukamilifu
presence
kuwapo
president
msimamizi
principle
kanuni
prophet
nabii
purpose
kusudi
ransom
fidia
ransomer
mfidiaji
remnant
mabaki
repentance
toba
resurrection
ufufuo
righteousness
uadilifu
Rome
Roma
ruin
uharibifu
salvation
wokovu
savior
mwokozi
self-control
kujizuia
shepherd
mchingaji
sin
dhambi
sovereignty
enzi kuu
spiritual food
chakula cha kiroho
throne
kiti cha ufalme
to place
kuangusha
to preach
kuhubiri
to sanctify
kutakasa
to vindicate
kutetea
a translation
tafsiri
universe
ulimwengu wote mzima
war
vita
wicked person
mwovu
wickedness
uovu
wisdom
hekima
worshipper
mwabudu
zeal
bidii
Satan
Shetani
fortification
boma
blessed
heri
winds or evil spirits
pepo
to put
kutia