Exercise 3 Flashcards
Answer the questions with both "ndio" and then "hapana"
1
Q
Wewe mwanafunzi?
A
Ndio. Mimi ni mwanafunzi.
Hapana. Mimi si mwanafunzi.
2
Q
Liz ni Mtanzania?
A
Ndio. Liz ni Mtanzania.
Hapana. Liz si Mtanzania.
3
Q
Mark Mmarekani?
A
Ndio. Mark ni Mmarekani.
Hapana. Mark si Mmarekani.
4
Q
Baba Ali ni Mmarekani?
A
Ndio. Baba Ali ni Mmarekani.
Hapana. Baba Ali si Mmarekani.