Exercise 2 Flashcards
Negate the following sentences
1
Q
Mimi ni mwanafunzi.
A
Mimi si mwanafunzi.
2
Q
Wewe ni Mmarekani.
A
Wewe si Mmarekani.
3
Q
Yeye ni mwalimu.
A
Yeye si mwalimu.
4
Q
Sisi ni wanafunzi
A
Sisi si wanafunzi.
5
Q
Nyinyi ni Wamerekani.
A
Nyinyi si Wamerekani.
6
Q
Wao ni Watanzania.
A
Wao si Watanzania.