Chapter 2 Grammar Flashcards
How are things here?
Habari za hapa?
Here are my grandparents.
Hawa hapa ni bibi yangu na babu yangu.
Here’s my father.
Huyu ni baba yangu.
This is my friend.
Huyu ni rafiki yangu.
Welcome to my home.
Karibu nyumbani.
I’m glad to see/meet them.
Nimefurahi kuwaona.
I like Tanzania a lot.
Ninapenda sana Tanzania.
Where does your friend come from?
Rafiki yako anatoka wapi?
What is your friend’s name?
Jina za rafiki yako ni nani?
Demonstratives in the M-Wa class: this, these, that, those
huyu, hawa, yule, wale
This is Ali. That is Lela.
Huyu ni Ali. Yule ni Lela.
Those are Ali and Lela.
Wale Ali na Lela.
Here are my mother and father.
Hawa ni mama yangu na baba yangu.
Those are children.
Wale ni watoto.
Possessive endings: my, your, his/her, our, your (pl.), their
-angu, -ako, -ake, -etu, -enu, -ao
Are these your children?
Hawa ni watoto wako?
That is our teacher.
Yule ni mwalimu metu.
Are these your all’s parents?
Hawa ni wazazi wenu?
These are our friends.
Hawa ni marafiki metu.
Her husband speaks Swahili.
Mume wake anasema Kiswahili.
How do you conjugate the negative present tense?
(1) The -a ending changes to an -i
(2) Omit the -na-
(3) Add h or ha- to all stems except mimi
Conjugate kutoka in the negative present tense.
Mimi sitoki, wewe hutoki, yeye hatoki, sisi hatutoki, nyinyi hamtoki, wao hawatoki
I don’t study.
Mimi sisomi.
Why don’t you study?
Kwa nini wewe husomi?