Chapter 1 Grammar Flashcards
Subject pronouns: I, you, he/she, we, you (plural), they
mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao
Subject prefixes on verbs: mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao
ni-, u-, a-, tu-, m-, wa-
How do you greet an elder person?
shikamoo
How does an elder person respond?
marahaba
to come from
kutoka
Conjugate the verb kutoka in the present tense.
Mimi ninatoka, wewe unatoka, yeye anatoka, sisi tunatoka, nyinyi mnatoka, wao anatoka
My friend comes from Tanzania.
Rafiki yangu anatoka Tanzania.
I come from America.
Mimi ninatoka Marekani.
Do you speak Swahili?
Unasema Kiswahili?
I only speak a little Swahili.
Ninasema Kiswahili kidogo tu.
My name is not mzungu. My name is Brian.
Jina langu si mzungu. Jina langu ni Brian.