Chapter 2 Flashcards
I wish
Natamani
Good idea
Wazo zuri
I don’t feel
Sisikii
You are wearing a mask
Unatumia barakoa
Reduce
Punguza
You’re losing weight
Unapunguza uzito
She is taking the children to school
Anapeleka watoto shuleni
A difficult question
Swali gumu
To bring
Kuleta
You (pl) respond politely
Mnajibu vizuri
To greet
Kusalimia
To sell
Kuuza
They opened the door
Walifungua mlango
I hope
Natumaini
Many years
Miaka mingi
Absolutely
Kweli kabisa
We met yesterday
Tulikutana jana
When I was 23…
Nilipokuwa na miaka 23…
We decided
Tuliamua
Until now
Mpaka sasa
The weather
Hali ya hewa
Opportunity
Fursa
A party
Sherehe
To celebrate / party
Sherekea
I’m hungry / thirsty
Nasikia njaa/ kiu
OR
Nina njaa / kiu
Never
Kamwe
I don’t know anything
Sijui chochote
Fish
Samaki
Somewhere different (a diff. place)
Sehemu tofauti
Rubbish
Takataka
What else?
Nini tena?
Public transport
Usafiri wa umma
Especially
Hasa
However (not lakini)
Hata hivyo
Almost everywhere
Karibia kila sehemu
Expensive
Ghali
If you are humble, God will uplift you
Kama unajishusha, mungu atakujikweza
It took me one hour
Nilitumia saa moja
To change
- sthg - eg clothes, house
- self - eg behaviour
Badilisha
Badilika
Garden
Bustani
Expat area / locals’ area
Uzunguni / uswahilini
Send money
Tuma pesa
They are not students, they are teachers
Wao sio wanafunzi, wao ni walimu
You are rich, he is not poor
Wewe ni tajiri, yeye sio maskini
This is not an office
Hii sio ofisi
She was not president, she was ambassador
Hakuwa rais, alikuwa balozi
You (pl) were not politicians
Hamkuwa wanasiasa
You (sing.) will not be a mechanic
Hutakuwa fundi
Politics
Siasa
Neighbour (s)
Jirani / majirani
She can’t hear you
Hawezi kukusikia
Land / take off
Tua / ruka
Move around
Zunguka
To be interesting
Kuvutia
(It’s interesting = inavutia)
Foreigner (non-white, eg Chinese)
Mgeni
The first day
Siku ya kwanza
Ko vs Po vs Mo?
Ko - general / indefinite location - e.g. Uko wapi? Niko Arusha
Po - specific / definite location - e.g. Nipo mgahawani / kazini / katika gari
Mo (obsolete) - inside / enclosed - e.g. Nimo ndani / chumbani/ jikoni
Shower, speak, swim
Oga, ongea, ogelea
Finally
Hatimaye
Mwisho
Don’t work hard, work smart
Usifanye kazi kwa bidii, fanya kazi kwa akili
Always and forever
Daima na milele
A few years ago
Miaka michache iliyopita
I have already… (+ verb)
Nimesha…
War
Vita