Chapter 1 Flashcards
What is your name? (Official style)
Jina lako ni nani?
What do you do?
Unafanya kazi gani?
Strong sun
Jua kali
Strong heat
Joto kali
Not OK
Sio sawa
Response to Shikamoo?
Marahaba
Pleased to meet you
Nimefurahi kukufahamu
They brush their teeth
Wanapiga mswaki
I get dressed
Navaa nguo
I get undressed
Navua nguo
She read the book
Alisoma kitabu
Bed / In bed
Kitanda / kitandani
We phoned the boss
Tulipiga simu kwa bossi
They will sleep deeply and dream nicely
Watalala fo-fof-fo na wataota ndoto nzuri
The day before yesterday
Juzi
Last week (not using jana)
Wiki iliyopita
Next week (not using kesho)
Wiki ijayo
This month
Mwezi huu
Last year
Mwaka uliopita
Next year
Mwaka ujao
I can’t complain
Siwezi kulalamika
Where is it?
Iko wapi?
He wrote an email in the car
Aliandika barua pepe katika gari
I will exercise and then rest a little
Nitafanya mazoezi halafu nitapumzika kidogo
You (pl) played football
Mlicheza mpira
Mango / mangoes
Embe/ maembe
Watermelon
Tikiti maji
To swim in the sea
Kuogelea baharini