2013@SWAHILI-03 Flashcards
nimkaribishe …
I invite / I welcome …
ajira
employment
(ku) -isha [-kwisha]
to make end / to complete / to finish
namna gani
how / which way / what’s up
(ku) -lalamika
to complain / to protest
kikao cha walezi wote
general staff meeting
-geni / -a kigeni / -a kioja / -a kiroja
strange / odd
(ku) -kojoa
to urinate (also: to reach orgasm)
mkojo (/kojozi)
urine
mwajiri
employer
mwajiriwa
employee
(ku) -amini
to trust / to believe
(ku) -aminiana
to trust each other
(ku) -ngojea
to wait for
maandalizi
preparations
(ku) -zunguka
to go around / to move around / to surround
mwenyekiti
the chairperson
hadi (eg, hadi hapo)
until / up to (eg, until then)
inawezekana
it is possible
tathmini
evaluation
(ku) -jitambua
to be self-aware / to know oneself (/to commit)
(ku) -jitegemea
to be self-reliant
makalio
hips (also: polite way to say ‘buttocks’)
imeeleweka
it has (already) been understood
(ku) -potea
to be lost / to be wrong / to get lost / to disappear
mengineyo
AOB / various
(ku) -tokana na
to result from / to originate from / to stem from
(ku) -peleka (kwa)
to send / to forward / to refer (to) / to take away
ajali — kwa ajali
accident / fate — accidentally
(ku) -jadili
to discuss / to debate / to argue
ubao
(black)board / plank
(ku) -changia
to contribute / to collect