2013@SWAHILI-02 Flashcards
-ingi / sana
a lot
(ku) -kubali
to agree / to accept
(ku) -kubaliwa
to be agreed / to be accepted
akaunti / hesabu
an account / accounts [noun]
(ku) -igiza
to act / to imitate
mwigizaji - waigizaji
actor(s)
anwani
address(es)
shauri - mashauri
piece(s) of advice
(ku) -shauri
to advise
jambo - mambo
matter(s) / affair(s)
(ku) -mudu
to afford / to handle / to manage
u hali gani?
how are you (what state are you in) ?
(ku) -furahi
to be happy
(ku) -furahia
to be happy about
nawe (short form)
(with/to) you
kuku choma
roasted/fried chicken
sikukuu
a holiday (one special day) / festival day
ziwa
a lake
kaskazini
north
kusini
south
mkoa
province / region
mashariki
east
magharibi
west
kisiwa - visiwa
island(s) [noun]
mbuga ya wanyama / mbuga wa taifa
game park / national park
ni tamu
it is delocious / tasty / sweet
mgongo
back (of the body; rug)
(ku) -tengeneza
to fix / to make
mguu - miguu
leg(s) / foot-feet
mfanyabiashara
salesman / businessman
karibu
welcome / near
alhamisi
thursday