Week 23 Flashcards
1
Q
(well) enough
A
Vya kutosha
2
Q
Desert
A
Jangwa - majangwa
3
Q
To cross
A
Vuka, pita
4
Q
Criminal, bandit
A
Jambazi - majambazi
5
Q
Deceive
A
Danganya
6
Q
Publish
A
Chapisha
7
Q
Publisher
A
Mchapishaji
8
Q
A benefit, cheap (price)
A
Nafuu
9
Q
Sickness
A
Ugonjwa - magonjwa, Homa - homa
10
Q
A cold
A
Mafua
11
Q
It happened (to be)
A
Ilitokea (kuwa)
12
Q
Hide (something)
A
Ficha
13
Q
What happened to me
A
Yaliyonipata
14
Q
Lively, cheerful
A
Changamfu
15
Q
Thirst
A
Kiu