week 1 Flashcards
How are you (sg)
Hujambo
Answer Hujambo
Sijambo
how are things going
Habari
Answer Habari ?
nzuri
Answer Salama ?
Salama
Hi (one person to many)
Hamjambo
Answer to Hamjambo
Hatujambo
Good morning
Habari za asubuhi
Good afternoon
Habari za mchana
Good evening
habari za jioni
quite well
Sawa tu
may I come in
Hodi
good bye
kwaheri
good bye y’all
Kwaherini
lesson
somo
lesson 1
Somo la kwanza
lesson 2
somo la pili
lesson 3
soma la tatu
are you well ?
mzima
I accept your greeting
marhaba
how is work
habari za kazi
greetings to elders
Shikamoo
how are you (1->many)
Hamjambo
Answer to Hamjambo
Hatu jambo
how is X (sg)
X hajambo
answer to hajambo
hajambo
how are Xs
xs hawajambo ?
Greetings
maamkizi
Self Introduction
kujitambulisha
question
swali
do you have a question
Una swali
I have a question
nina swali
I have no question
sina swali
simple
rahisi
muslim men coat
kanzu
I, you, she
mimi, wewe, yeye
we, you all, they
sisi, ninyi, wao
subject prefix mimi, wewe, yeye
ni, u, a
subject prefix sisi, ninyi, wao
tu, m, wa
host
mwenyeji
guest
mgeni
to continue, to go ahead
endelea
Stone town
Mji Mkongwe
veteran
mkongwe
negative prefix
Ni,u,a, tu, m, wa
Si, hu, ha, ham, hatu, hawa
Number
Namba
Whole
Mzima
to live
kuishi
half an hour
nusu saa
personal pronouns
mimi, wewe, yeye, sisi, nyinyi, wao
me too, like me
kama mimi
like (comparative)
kama
ginger
tangawizi
garlic
vitunguu saumu
spinach
mchicha
how much zanzibar
Shilling ngapi
explain your self (imperativ)
jieleze
to explain myself
kujielezea
himself
mwenyewe
more
zaidi
also
pia
it is enough
inatosha
role play
igizo
a short time
muda mfupi
a long time
muda mrefu
Which
Ghani
wait !
subiri
to send
kupeleka
to put
kuweka
I put pepper on eggs
Ninaweka pilipili kwenye mayai
Is there spinach
Kuna mchicha
Therefor
Kwa hivyo
Price
Bei
Black tea
Chai kavu
Correct
Sahihi
what eats you is within you
Kikulacho Ki Nguoni Mwako
unity brings strength
separation brings weakness
Unity brings strength
Separation brings weakness
proverb
methali
time
wakati
what time
wakati gani
society
jamii
participant
mshiriki
involved
inayohusika
to be involved
kuhusika
culture
utamaduni
especially
hasa
shore
mwambao
Birthday
Siku ya kuzaliwa
happy birthday
Furaha ya siku yako ya kuzaliwa
to depend on
kutegemea
independent
kujitegemea
origin
asili
East Afrika
Afrika Mashiriki
North Afrika
Afrika Kaskazini
West Afrika
afrika magharib
star
nyota
lunar cycle
mzunguko wa mwez
majira
season
to remember
kukumbuka