Vocabulary Pack 1 Flashcards
1
Q
wide (adj)
eg) wide door
A
pana
eg) mlango mpana
2
Q
lazy (adj)
A
- vivu
eg) mvivu
3
Q
sunday
A
Jumapili
4
Q
Monday
A
jumatatu
5
Q
Tuesday
A
jumanne
6
Q
Wednesday
A
jumatano
7
Q
Thursday
A
alhamisi
8
Q
Friday
A
ijumaa
9
Q
Saturday
A
jumamosi
10
Q
left
eg) turn left
A
kushoto
eg) pita kushoto
11
Q
right
eg) right side
A
kulia
eg) upande wa kulia
12
Q
twenty
A
ishirini
13
Q
thirty
A
thelathini
14
Q
forty
A
arobaini
15
Q
fifty
A
hamsini
16
Q
sixty
A
sitini
17
Q
seventy
A
sabini
18
Q
eighty
A
themanini
19
Q
ninety
A
tisini
20
Q
one hundred
A
mia moja
21
Q
four
A
nne
22
Q
four hundred
A
mia nne
23
Q
one thoasand
A
elfu moja
24
Q
million
A
miioni
25
once
mara moja
26
twice
mara mbili
27
zero
sifuri
28
expensive
ghali
29
fedha
money/silver
30
advice
| eg) to give advice
ushauri
| eg) kutoa ushauri
31
entertainment
burudani
32
college
chuo
33
minerals
madini
34
what nationality are you?
wewe taifa gani?
35
I'm tanzanian
Mimi mtanzania
36
approval / consent / clearence
ruhusa / kibali
37
to ask for forgiveness
kuomba msamaha
38
to forgive
kusamehe
39
to close
kufunga
40
to respect
kuheshimu
41
decision
uamuzi
42
1997
elfu moji mia tisa tisini na saba
43
136
mia moja thalathini na sita
44
47 ¾
arubaini na saba na robo tatu
45
sentence (writing)
sentensi
46
to decide
kuamua
47
to be on time
Kuwahi
48
answer
jibu
49
funeral
mazishi
50
wedding
harusi / ndoa
51
therefore
kwa hivyo / kwa sababu hiyo
52
university
chuo kikuu
word meanings: college + main/supreme
53
you guys
Nyie / Nyinyi
54
or
au
55
only
tu
56
unless
ila
57
to pray
kusali
58
church
kanisa
59
mosque
msikiti / kanisa
60
reason
sababu
61
prisoner
mfungwa
62
I'll go to town by car
Nitakwenda mjini kwa gari
63
I slept for half an hour
Nililala kwa nusu saa
64
He/she washed clothes with soap
Alifua nguo kwa sabuni
65
They live/stay at their cousin's house
Wanaishi kwa nyumba ya binamu wao
66
cousin
binamu
67
Will you come to the office on foot?
Je, utakuja ofisini kwa miguu?
68
They will die of hunger
Watakufa kwa njaa
69
He/she is coming from the doctor['s office]
Anatoka kwa daktari
70
sweater
sweta
71
mask
barakoa
72
or
ama / au
73
room
chumba
74
wealth
mali
75
passenger
abiria
76
statement
taarifa
77
haki ya mungu!
I swear to God!
| technically means righteousness of God!