Vocabulary Key Phrases Flashcards
1
Q
Nyumba hii ina vyumba vitatu.
A
This house has three bedrooms.
2
Q
Hiki ni chumba cha kulala.
A
This is a bedroom.
3
Q
Chumba hiki kina choo.
A
This room has a bathroom.
4
Q
Vyumba vidogo vina vyoo pia?
A
Do the small rooms have bathrooms too?
5
Q
Hili hapa ni jiko.
A
This is the kitchen here.
6
Q
Ukumbi uko wapi?
A
Where is the living room?
7
Q
Ukumbi ni mzuri na mkubwa.
A
The living room is big and beautiful.
8
Q
Twende nje.
A
Let’s go outside.
9
Q
Nyumba ni nzuri.
A
The house is beautiful.
10
Q
Tunaanalia televisheni.
A
We’re watching television.
11
Q
Ninasoma kitabu.
A
I’m reading a book.