Vocab Somo la Nane Flashcards
marudio
review
nambari
number
-pigia simu
telephone someone/make a call to
sifuri
zero/cipher/nought
wiki ijayo
next week
ajabu
wonder/something amazing/incredible
-a kitaifa
national
-a kupendeza
pleasing
-a mwitu
wild
-bariki
bless
-barikiwa
be blessed
bustani
garden/park
chui
leopard
duma
cheetah
fedha
money/silver
hakika
certainty/reality/fact
hoteli
hotel/restaurant
huru
free
jicho/macho
eye
kigeni
foreign
kwa hakika
certainly/indeed/for sure
maskani
abode/dwelling place/home
maumbile
nature/natural condition/natural state
mlima
mountain
mno
very much/especially so
msafara
trip/safari/expedition
mtalii
tourist
mwitu
forest
nje
outside
nyumbu
wild beast
-pendeza
be pleasing/please
-pokea
receive/see
punda milia
zebra
sanaa
works of art
swala
antelope/gazelle
taabu
trouble
-tembea
walk/see
tembo
elephant
-tenda
behave
twiga
giraffe
ufuko
beach
ukarimu
hospitality
utalii
tourism
-vutia
attract
kweli
true/really?
hasabu
math
-penda
like/love
naam
yes (responding to a call, male)
labeka
yes (responding to a call, female)
kama
like (comparison)
kama
if (ex: if they don’t go, what happens?
-fahamu
understand
kabila
tribe
kama
as (ex: I know him as…)
pwani
coast