Vocab 2 Flashcards
Flower(s)
ua/maua
who
nani
cooked rice
wali
raw/uncooked rice
mchele
rice crop
mpunga
now
sasa
to read
kusoma
to cook
kupika
to go
kwenda
to be called
kuitwa
to know
kujua
to like/love
kupenda
do you know swahili?
je unajua kiswahili?
yes i know swahili
ndio ninajua kiswahili
do you know how to cook pilau?
je unajua kupika pilau?
yes i know how to cook pilau
ndio ninajua kupika pilau
do you know how to read swahili?
(je) unajua kusoma kiswahili?
yes i like to cook rice
ndio ninapenda kupika wali
he/she likes to read a book
anapenda kusoma kitabu
what (things)
nini
what kind/what sort/which
gani
there is/are
kuna
is there pilau?
kuna pilau?
is there tea?
kuna chai?
what is there?
kuna nini?
what kind of food are you cooking?
unapika chakula gani?
bread is food
mkate ni chakula
i am a doctor
mimi ni daktari
papaya is fruit
papai ni tunda
papaya and banana are fruits
papai na ndizi ni matunda