Verbs (infinitive + stem) Flashcards
kujaribu (-jaribu-)
to try
kujibu (-jibu-)
to answer
kufa (-fa-)
to die
kuja (-ja-)
to come
kuwa (-wa-)
to be/become
kula (-la-)
to eat
kunywa (-nywa-)
to drink
kwenda (-enda-)
to go
kwisha (-isha-)
to be finished
kutaka (-taka-)
to want
kuuza (-uza-)
to sell
kuweka (-weka-)
to put/place
kusamehe (-samehe-)
to forgive
kubaki (-baki-)
to remain
kufikiri (-fikiri-)
to think
kufunga (-funga-)
to close
kufungua (-fungua-)
to open
kujua (-jua-)
to know
kukaa (-kaa-)
to stay
kukamata (-kamata-)
to seize/hold
kukata (-kata-)
to cut
kuleta (-leta-)
to bring
kupika (-pika-)
to cook
kusafisha (-safisha-)
to clean
kusema (-sema-)
to speak
kusimama (-simama-)
to stand/halt
kutafuta (-tafuta-)
to search
kufanya (-fanya-)
to do
kufika (-fika-)
to arrive
kufuata (-fuata-)
to follow
kununua (-nunua-)
to buy
kupenda (-penda-)
to like/love
kupiga (-piga-)
to beat
kufurahi (-furahi)
to rejoice
kuketi (-keti-)
to sit
kusafiri (-safiri-)
to travel
kurudi (-rudi-)
to return
kufaulu (-faulu-)
to succeed
kuharibu (-haribu-)
to destroy