Useful Swahili phrases Flashcards
Hello
Hujambo
I am fine
Sijambo
And you?
Na wewe?
I am okay
Niko salama
I’m a little tired
Nimechoka kidogo
Do you speak Swahili?
Unasema kiswahili
Yes
Ndiyo
I speak a little Swahili
Ninasema kiswahili kidogo
I am studying Swahili
Ninajifunza kiswahili
I have been studying Swahili for two years
Nimekuwa nikijifunza kiswahili kwa miaka miwili
What is your name?
Jina lako ni nani?
My name is…
Jina langu ni…
I am called…
Ninaitwa…
I am…
Mimi ni…
What is her name?
Jina lake ni nani?
Her name is…
Jina lake ni…
She is called…
Anaitwa…
She is…
Yeye ni…
Nice to meet you.
Nimefurahi kukutana nawe
I am happy to meet you
Ninafurahi kukujua
What are you doing?
Unafanya nini?
Nothing.
Hakuna.
I am doing nothing.
Sifanyi chochote.
I am singing.
Ninaimba.