Unit 2 - Numbers Flashcards
1
Q
1
A
moja (-moja)
2
Q
2
A
mbili (-wili)
3
Q
3
A
tatu (-tatu)
4
Q
4
A
nne (-nne)
5
Q
5
A
tano (-tano)
6
Q
6
A
sita
7
Q
7
A
saba
8
Q
8
A
nane (-nane)
9
Q
9
A
tisa
10
Q
10
A
kumi
11
Q
11
A
kumi na moja
12
Q
12
A
kumi na mbili
13
Q
13
A
kumi na tatu
14
Q
14
A
kumi na nne
15
Q
15
A
kumi na tano
16
Q
16
A
kumi na sita
17
Q
17
A
kumi na saba
18
Q
18
A
kumi na nane
19
Q
19
A
kumi na tisa
20
Q
20
A
ishirini
21
Q
22
A
ishirini na mbili
22
Q
23
A
ishirini na tatu
23
Q
30
A
thelathini
24
Q
33
A
thelathini na tatu
25
40
arobaini
26
44
arobaini na nne
27
50
hamsini
28
55
hamsini na tano
29
60
sitini
30
66
sitini na sita
31
70
sabini
32
77
sabini na saba
33
80
themanini
34
88
themanini na nane
35
90
tisini
36
99
tisini na tisa
37
100
mia
38
101
mia na moja
39
200
mia mbili
40
250
mia mbili na hamsini
41
999
mia tisa, tisini na tisa
42
1000
elfu
43
500,001
mia tano elfu na moja
44
1,501
elfu moja mia tano na moja
45
Numbers 1 to 5 and 8 have to agree with the noun they qualify. For example 1 person, 2 people, 12 people, 18 people, 23 children , 45 children, 68 children
mtu mmoja / watu wawili / watu kumi na wawili / watu kumi na wanane / watoto ishrini na watatu / watoto arobaini na watano / watoto sitini na wanane
46
127
mia ishirini na saba