Unit 10-b First vs. Second Person, Singular Plural Practice. Flashcards
Unataka chakula?
Do you (sg.) want food?
Ndiyo. Niletee matunda.
Yes. bring me fruit.
`Mnataka chakula?
Do you (pl.) want food?
Ndiyo. Tuletee matunda.
Yes. Bring us fruit.
Unataka matunda?
Do you (sg.) want fruit?
Ndiyo. Niletee ndizi.
Yes. Bring me bananas.
`Mnataka matunda?
Do you (pl.) want fruit?
Ndiyo. Tuletee ndizi.
Yes. Bring us bananas.
Ninataka chakula.
I want food.
Unataka chakula gani?
What kind of food do you (sg.) want?
Tunataka chakula.
We want food.
`Mnataka chakula gani?
What kind of food do you (pl.) want?
Niletee matunda.
Bring me fruit.
Unataka matunda gani?
What kind of fruit do you (sg.) want?
Tuletee Matunda.
Bring us fruit.
`Mnataka matunda gani?
What kind of fruit do you (pl.) want?