Swahili--M/Wa class Flashcards
person
mtu / watu
teacher
mwalimu / walimu
student
mwanafunzi / wanafunzi
guest
mgeni / wageni
patient
mgonjwa / wagonjwa
cook
mpishi / wapishi
child
mtoto / watoto
helper
msaidizi / wasaidizi
old person
mzee / wazee
bug
mdudu / wadudu
animal
mnyama / wanyama
citizen/native
mwenyeji / wenyeji
woman
mwanamke / wanawake
man
mwanamume / wanaume
farmer
mkulima / wakulima
wife
mke / wake
husband
mume / waume
this (m/wa class)
huyu
that (m/wa class)
yule
these (m/wa class)
hawa
those (m/wa class)
wale
of (m/wa class linking article)
wa
my (m/wa class)
wangu
your (m/wa class)
wako
his/her (m/wa class)
wake
our (m/wa class)
wetu
their (m/wa class)
wao
to be (referring to location, full conjugation)
niko, uko, yako/ako, tuko, mko, wako
to not be (referring to location, full conjugation)
siko, huko, hayuko, hatuko, hamko, hawako
which/that/whom (m/wa class) (singular)
ambaye
which/that/whom (m/wa class) (plural)
ambao
bad student
mwanafunzi mbaya
rotten man
mwanamume mbovu
few people
watu wachache
dirty bugs
wadudu wachafu
small child
mtoto mdogo
short old person
mzee mfupi
foreign/strange people
watu wageni
difficult teacher
mwalimu mgumu
smart student
mwanafunzi mkali
big woman
mwanamke mkubwa
fat man
mwanamume mnene
how many guests
wageni wangapi
wide/broad woman
mwanamke mpana
new patient
mgonjwa mpya
lazy students
wanafunzi wavivu
whole patient
mgonjwa mzima
heavy patient
mgonjwa mzito
important man
mwanamume mkuu
nice woman
mwanamke mzuri
pretty animals
mwanyama wazuri
pleasant children
watoto wazuri
honest/trustworthy person
mtu mwaminifu
honest/trustworthy helpers
wasaidizi waminifu
thin/slender man
mwanamume mwembamba
thin/slender children
watoto wembamba
red bug
mdudu mwekundu
red animals
wanyama wekundu
light (in weight) child
mtoto mwepesi
light (in weight) women
wanawake wepesi
cunning/crafty student
mwanafunzi mwerevu