Swahili Basics EN Flashcards
Thank you
Asante (ah-sah-nteh)
You are welcome
Karibu (kah-ree-boo)
Please
Tafadhali (tah-fah-thah-lee)
My sympathy (Sorry)
Pole (poh-leh) or Samahani
Excuse me
Nisamehe (nee-sa-meh-heh), Samahani
Me
Mimi
You
Wewe
Us
Sisi
Him/Her
Yeye
Them
Wao
Friend/Pal
Rafiki (rah-fee-kee)
Family
Jamii (jah-mee)
Daughter (in Luo)
Nyar
Daughter
Binti
Son
Mwana (mwah-nah)
Relative/Brother
Ndugu (ndoo-goo)
Brother
Kaka
Sister
Dada (dah-dah)
Father
Baba (bah-bah)
Mother
Mama
Doctor
Daktari (dahk-tah-ree)
Teacher
Mwalimu
Sir
Bwana (bwah-nah)
Man; Men
Mwanaume; Wanaume (wah-nah-oo- meh)
Woman; Women
Mwanamke; Wanawake (wah-nahwah-keh)
A young person
Kijana (kee-jah-nah)
Girl; young women
Msichana (msee-chah-nah)
Old man (term of respect)
Mzee
Yes
Ndiyo
No
Hapana
Maybe
Labda
Now
Sasa
Later
Baadaye
Long life
Maisha marefu
No worries/problems
Hakuna matata
I am satisfied (by this meal)
Nimeshiba.
I want…
Nataka… (nah-tah-kah)
I want to go…
Nataka kwenda…(nah-tah-kah kwehndah)
I want to buy…
Nataka kununua…
I am tired.
Nimechoka.
May I come in?
Hodi (hoh-dee)
Welcome/Come in
Karibu (kah-ree-boo)
Hello
Jambo (jah-mboh)
Goodbye
Kwaheri (kwah-heh-ree)
How are you?
Habari yako? (hah-bah-ree yah-koh)
Very well
Mzuri sana
…and you?
Na wewe je?
Okay
Sawa
What’s up? (informal)
Mambo?
What’s up with you?; Cool
Vipi; Poa
My name is…
Jina langu ni… (jee-nah lah-ngoo)
What is your name?
Jina lako ni nani? (jee-nah lah-koh nahnee)
What do you call yourself?
Unaitwa nani?
I call myself…
Ninaitwa…
Pleased to meet you.
Nimefurahi kukutana
I am from America.
Ninatoka nchi ya Amerika.
Where are you from?
Unatoka wapi? (wah-pee)
I am a student.
Mimi ni mwanafunzi.
I am doing work for …
Ninafanya kazi kwa…
I am thirsty
Ninasikia kiu
I would like…
Ninaomba…
I want…
Nataka…
Drinks/Beverages
Kinywaji
Coffee
Kahawa (kah-hah-wah)
Tea
Chai
Water
Maji (mah-jee)
Milk
Maziwa
Beer
Bia
I am hungry
Ninasikia njaa
Food
Chakula (chah-koo-lah)
Bread
Mkate (mkah-teh)
Meat
Nyama (nyah-mah)
Fish
Samaki (sah-mah-kee)
Vegetables
Mboga (mboh-gah)
Fruit
Matunda (mah-too-ndah)
Chicken
Kuku
Corn
Mahindi
How much?
Pesa ngapi (peh-sahn gah-pee)
How many?
Ngapi (ngah-pee)
Money
Pesa (peh-sah)
Price
Bei (beh-ee)
Expensive
Ghali (ghah-lee)
Cheap
Rahisi (rah-hee-see)
Morning
Asubuhi (ah-soo-boo-hee)
Afternoon
Mchana (mchah-nah)
Evening
Jioni (jee-oh-nee)
Night
Usiku (oo-see-koo)
Zero
Sufiri
one
moja
two
mbili
three
tatu
four
nne
five
tano
six
sita
seven
saba
eight
nane
nine
tisa
ten
kumi
twenty
ishirini
thirty
thelathini
forty
arobaini
fifty
hamsini
sixty
sitini
seventy
sabini
eighty
themanini
ninety
tisini
one hundred
mia moja
one thousand
elfu moja
11
Kumi na moja
30
Thelathini
1000
elfu
12
Kumi na mbili
40
Arobaini
13
Kumi na tatu
50
Hamsini
14
Kumi na nne
60
Sitini
15
Kumi na tano
70
Sabini
16
Kumi na sita
80
Themanini
17
Kumi na saba
90
Tisini
18
Kumi na nane
100
Mia
19
Kumi na tisa
102
Mia na mbili
20
Ishirini
200
Mia mbili
23
Ishirini na tatu
250
Mia mbili na hamsini
I am lost.
Nimepotea
I don’t know.
Sijui.
I don’t understand.
Sifahamu.
How do you say…in Swahili?
Unasemaje… kwa Kiswahili?
Can you repeat that please?
Sema tena tafadhali.
Repeat that slowly
Sema tena pole pole
Who?
Nani?
What?
Nini?
Why?
Kwa nini?
Where?
Wapi?
When?
Lini?
Market
Soko (soh-koh)
Mosque
Msikiti
Church
Kanisa (kah-nee-sah)
Shop
Duka
School
Shule (shoo-leh)
Hospital
Hospitali (hoh-spee-tah-lee)
Home
Nyumba - Nyumbani
Bathroom/Toilet
Choo (choo)
Shower
Kioga (kee-oh-gah)
Kitchen
Jiko (jee-koh)
Garden
Shamba (shah-mbah)
Peace
Amani (ah-mah-nee)
Love
Upendo (oo-peh-ndoh)
Work
Kazi (kah-zee)
Enough
Inatosha/basi
Beautiful
Mrembo (mreh-mboh)
Slowly
Pole pole (poh-leh)
Strength
Nguvo
Bad
Mbaya (mbah-yah)
Long life
Maisha marefu
Cool
Poa
Beautiful
Nzuri/Mzuri
Sick
Gonjwa (goh-njwah)
Good
Nzuri
Piece of cloth worn by a woman
Kanga
Together for one goal.
Pamoja kwa lengo moja.
A proverb that has a similar meaning to: “a journey of thousand miles starts with one step.”
Haba na haba hujaza.
Slowly is the best course
Pole pole ndiyo mwendo
Hurry has no blessing
Haraka haraka haina baraka
He who praises rain has been rained on
Asifuye mvuwa imemnyeshea
To live long is to see much
Kuishi kwingi ni kuona mengi
To get lost is to learn the way
Kupoteya njia ndiyo
electric drill
pua ya umeme
gear
seketi
lock ring
pete ya kufuli
lubricating oil
mafuti
nail hammer
nyundo ya kupiga misumari
welding machine
mashine ya kuchomelea
wire cutter
mikasi ya kukata waya
saw scissor
mkasi wa msumeno
metal cutter
visu vya kukata metali
support tool
chombo cha kuegemeza
chair
kiti
table
meza
cupboard
kabati
bed
kitanda
sofa
sofa
armchair
kiti cha mkono
coffee table
meza ya kahawa
shelf
rafu
refrigerator
jokofu
office chair
kiti cha ofisi
desk
dawati
bookshelf
kabati la vitabu
wardrobe
kabati la nguo
dining table
meza ya chakula
book rack
rafu ya vitabu
mat
mkeka
bench
benchi
shoe rack
kabati la viatu
shoe shelf
rafu ya viatu
stool
stuli
football
mpira wa miguu
basketball
mpira wa kikapu
volleyball
mpira wa wavu
tennis
tenisi
running
mbio
swimming
kuogelea
wrestling
mieleka
mountain climbing
kupanda mlima
cycling
mbio za baiskeli
karate
karate
handball
mpira wa mikono
rugby
rugby
cricket
kriketi
judo
judo
table tennis
mpira wa meza
golf
gofu
badminton
badminton