Swahili Flashcards
1
moja
2
mbili
3
tatu
4
nne
5
tano
6
sita
7
saba
8
nane
9
tisa
10
kumi
11
kumi na moja
12
kumi na mbili
20
ishirini
24
ishirini na nne
30
thalathini
100
mia
126
mi moja thalathini na sita
999
mia tisa tisini na tisa
1000
elfu
1997
elfu moja mia tisa tisini na saba
half
nusu
two and a half
mbili na nusu
quarter
robo
47 and 3/4
arubaini na sab na robo tatu
time
hour
watch/clock
saa
morning
asubuhi
evening
jioni/usiku
afternoon
mchana
later afternoon
alasiri/jioni
dusk
magharibi
night
usiku
early morning
alfajiri
now
sasa
today
leo
tomorrrow
kesho
day before yesterday
juzi
yesterday
jana
day after tomorrow
kesho-kutwa
day
siku
week
wiki
month
mwezi
year
mwaka
century
karne
and
na
bad
mbaya
drink (noun)
kinywaji
drink (verb)
kunywa
eat
kula
food
chakula
good
nzuri
here
hapa
help me, please
nisaidie, tafadhali
i’m happy
nimefurahi
i love you
ninakupenda
ok
sawa
no
hapana
please
tafadhali
sorry (sympathize)
pole
sorry (apologize)
samahani
thank you
asante
water
maji
yes
ndio
I
mimi
we
sisi
you (singular)
wewe
you (plural)
nyinyi
he/she
yeye
they
wao