Swahili Flashcards
Jambo
Hello
Mambo
Hi / Hi mate
Karibu
Welcome / You’re welcome
Nzuri
Good / fine
Umefanya vizuri
You’re doing well
Je, naweza
May I
Unapendelae nini?
What do you prefer?
Tembo
Elephant
Simba
Lion
Pundamilia
Zebra
Haraka
Fast
Ndogo
Small
Kubwa
Big
Dhaifu
Weak
Enye nguvu
Strong
Jua kali
Sunny
Baridi
Cold
Jumatatu
Monday
Jumanne
Tuesday
Jumatano
Wednesday
Alhamisi
Thursday
Ijumaa
Friday
Jumamosi
Saturday
Jumapili
Sunday
Sekunde
Second
Dakika
Minute
Siku
Day
Usiku
Night
Usiki
Night
Asubuhi
Morning
Kesho
Tomorrow
Mgongoni
The back
Unapata nafuu?
Getting better?
Maombi
Prayer
Mama
Mother
Baba
Father
Unyayo
The foot
Kiwiko
The elbow
Mguu
The leg
Uti wa mgongo
The spine
Pafu
The lung
Misuli
Muscles
Asante
Thank you
Ahsante sana
Thank you very much
Hapana
No
Hapana asante
No thank you
Habari ya asubuhi
Good morning
Habari ya mchana
Good afternoon
Habari ya jioni
Good evening
Usiku mwema
Good night
Kwa heri
Goodbye
Jina langu ni
My name is
Unasikia maumivu
Do you feel pain?
Ndio
Yes
Twende
Let’s go
Wewe
You
Mimi
Me
Samahani
Please/excuse me
Simama
Stand
Sukuma mkono wangu
Push my hand
Nenda kwa matembezi
Go for a walk
Nyumbani
At home
Mazoezi
Exercise
Fanya Kama ninafanya mimi
Do as I am doing
Tumemaliza kwa leo
We are finished for today
Hongera
Congratulations
Mahindi ya kuchoma
Flame grilled corn
Rudia baada yangu
Repeat after me
Chache
A few / couple
Subiri dakika kidogo
Wait a minute
Nzuri, habariako
Good, how are you?
Tafadhali
Please
Usisogee
Don’t move
Naongea Swahili kidogo
I am speaking little Swahili
Simama hapa
Stop here
Niaje
Slang for - Hi
Umeamkaje?
How did you wake up?
Lala / kulala
Sleep
Lala Salama
Sleep well
Zaidi
More
Moja
1
Mbili
2
Tatu
3
Nne
4
Tano
5
Sita
6
Saba
7
Nane
8
Tisa
9
Kumi
10
Mia
Hundred
Elfu
Thousand
Kunja
Bend
Nyoosha
Extend
Siku
Day
Ninaenda
I am going to
Kumi na
10 and …
Daima mbele nyuma mwiko
Always forward behind is prohibited
Ishirini
20
Thelathini
30
Arubaini
40
Hamsini
50
Saa
Hour
Bahati
Lucky
Laki
Hundred thousand
Ni
Is
Kwa
For
Nani
Who
Ya
Of
Koda
Stop at
Subiri
Wait
Tafadhali nishushe hapa
Please drop me off at here
Sifuri
0
Hamna
Nothing / have nothing
Kwanini
Why
Kasoro
Nearly
Unga
Flour
Ninaondoka kwenda England leo
I leave for England today
Ninaondoka kwenda England Jumanne
I leave for England on Tuesday
Uingereza
England
Malipo
Payment