Starehe na Michezo Flashcards
Leisure Time and Sports
1
Q
Husoma
A
Usually read
2
Q
Mimi huogelea
A
Usually swim
3
Q
Mimi hupika
A
Usually cook
4
Q
Mimi hushona
A
Usually sew
5
Q
Mimi hukimbia
A
Usually run
6
Q
Mimi huimba
A
Usually sing
7
Q
Huzungumza na marafiki
A
Usually talk with friends
8
Q
Huenda sinema
A
Usually go to the cinema
9
Q
Hutembea na mbwa wangu
A
Usually walk my dog
10
Q
Huendesha baiskeli
A
Usually ride a bike
11
Q
Soka
A
Soccer
12
Q
Kandanda
A
Soccer
13
Q
Mpira wa kikapu
A
Basketball
14
Q
Gofu
A
Golf
15
Q
Futiboli
A
American football
16
Q
Besiboli
A
Baseball
17
Q
Hoki
A
Field Hockey
18
Q
Hoki ya brafuni
A
Ice Hockey
19
Q
Raga
A
Rugby
20
Q
Voliboli
A
Volleyball
21
Q
Netiboli
A
Netball
22
Q
Miereka
A
Wrestling
23
Q
Tenisi
A
Tennis
24
Q
Kuogelea
A
Swimming
25
Mbio za nyika
Track
26
Kuteleza barafuni
Ice skating
27
Timu
Team
28
Shabiki
A fan of