SS53 Flashcards
1
Q
uaminifu
A
trustworthiness
2
Q
ubaya
A
badness, evil
3
Q
ubovu
A
rottenness
4
Q
uchache
A
scarcity
5
Q
uchafu
A
dirt
6
Q
ufupi
A
shortness
7
Q
ugeni
A
strangeness
8
Q
ugumu
A
hardness
9
Q
uhodari
A
efficiency
10
Q
uhuru
A
freedom
11
Q
wingi
A
plenty
12
Q
Uislamu
A
Muslim religion
13
Q
ujamaa
A
relationship, brotherhood, socialism
14
Q
ujana
A
youth
15
Q
ukaki
A
ferocity, sharpness
16
Q
Ukristo
A
Christianity
17
Q
ukubwa
A
size
18
Q
umaskini
A
poverty
19
Q
umoja
A
unity
20
Q
unene
A
fatness, thickness
21
Q
upana
A
breadth, width
22
Q
upendo
A
love
23
Q
urahisi
A
ease
24
Q
urefu
A
length, height, depth
25
usafi
cleanliness
26
utajiri
wealth
27
utamu
sweetness
28
utoto
childhood
29
uwezo
ability, power
30
uzee
old age
31
uzito
weight
32
uzuri
goodness, beauty
33
udongo
soil
34
ugali
porridge
35
uji
gruel
36
umande
dew
37
umeme
lightning, electricity
38
usingizi
sleep
39
wali
cooked rice
40
wino
ink
41
ua, nyua
courtyard, backyard
42
ubao, mbao
plank, board
43
ufa, nyufa
crack
44
ufunguo, funguo
key
45
ukoo, koo
clan
46
ukuni, kuni
firewood
47
ukurasa, kurasa
page
48
ukuta, kuta
wall
49
ulimi, ndimi
tongue
50
uma, nyuma
fork
51
nywele
hair
52
upande, pande
side, part of the country
53
upepo, pepo
wind
54
usiku, siku
night
55
uso, nyuso
face
56
uzi, nyusi
string, thread
57
wakati, nyakati
period, time of year, season
58
wembe, nyembe
razor, razor blade
59
ugomvi, magomvi
quarrel
60
ugonjwa, magonjwa
disease, sickness
61
udachi
Germany
62
ufaransa
France
63
Uganda
Uganda
64
Uingereza
England
65
Uhindi
India
66
Ulaya
Europe
67
Unguja
Zanzibar
68
Ureno
Portugal
69
Usukuma
Sukumaland