Somo la Kwanza - Msamiati [Lesson 1 - Vocabulary] Flashcards
asubuhi
morning
au
or
baba
father
bibi
ms. / mrs. / miss
bwana
mr. / sir
gani?
what kind? / what sort?
habari
news
hujambo
how are you?
kuitika
to respond / to affirm
je
marks questions
mama
mother
mchana
daytime / afternoon
mwalimu
teacher
walimu
teachers
mwanafunzi
student
wanafunzi
students
mzee
elder / old person
wazee
elders / old people
ndugu
sibling / relative
nzuri
good
salama
safety / security / peace
kusema
to speak / to say
sijambo
I’m fine
tu
only / just / merely
wewe
you
basi
well / then / well then
kufundisha
to teach
haya
alright / OK
mmoja
one person
mwingine
another person / other person
na
and / by / with
sana
very / very much / a lot
sasa
now
kusoma
to study / to read
yeye
she / he
Kiswahili
Swahili language
msingi wa kusema, kusoma, na kuandika
foundation for speaking, reading, and writing
somo la kwanza
first lesson
somo la pili
second lesson
somo la tatu
third lesson
maamkio
greetings
baina ya watu wawili
between two people
mazungumzo
conversation / dialogue
mazungumzo ya kwanza
first conversation
mazungumzo ya pili
second conversation
mazungumzo ya tatu
third conversation
mazoezi
drills / exercises
zoezi
drill / exercise
zoezi la kwanza
first exercise
zoezi la pili
second exercise
zoezi la tatu
third exercise
zoezi la nne
fourth exercise
zoezi la tano
fifth exercise
zoezi la kusoma
reading exercise
habari za sarufi
grammar notes
zoezi la nyumbani
homework exercise
tafsiri kwa Kiswahili
translate into Swahili
jaza mistari
fill the blanks / fill the lines
jibu maswali
answer the questions
kwa Kiswahili
in Swahili / into Swahili
msamiati
vocabulary
maneno ya mazungumzo na mazoezi
words in the conversation and the exercises
maneno ya zoezi la kusoma
words in the reading exercise
maneno maalum
special vocabulary