Sentences Flashcards
1
Q
Tafadali
A
Please
2
Q
Tafadali naweza kukusaidia?
A
Please, can i help you
3
Q
Tafadali naweza kukaa?
A
Please, can i sit?
4
Q
Mimi naitwa Deborah
A
My name is Deborah
5
Q
Wewe unaitwa nani?
Jina lako unaitwa nani?
A
What is your name?
6
Q
Ninatokea Ujerumani
A
Im from Germany
7
Q
Unatokea wapi?
A
Where are you from?
8
Q
Acha, kupigana!
Msipigane.
A
Stop fighting!
Dont fight
9
Q
Samahani
A
Sorry
10
Q
Samahani nimuevunja glass yako.
A
Sorry i broke your glas
11
Q
Samahani, naomba kuuliza
A
Please, may i ask
12
Q
Ishirini
A
20
13
Q
Thelathini
A
30
14
Q
Arobaini
A
40
15
Q
Hamsini
A
50