Questions: Introducing Oneself Flashcards
Ninatoka nchi ya Kenya, mji wa Nairobi
I come from Nairobi, Kenya
Sitoki nchi ya America, mji wa Chicago, Ninatoka nchi ya Kenya, mji wa Nairobi.
I don’t come from Chicago, America, I come from Nairobi, Kenya.
Unatoka wapi?
Where do you come from?
Ninatoka nchi ya___.
I come from___.
Hutoki nchi ya America, Unatoka nchi ya Japan
You are not from America, you are from Japan.
John anatoka nchi ya Portugal, mji wa Lisbon
John comes from Lisbon, Portugal
John hatoki nchi ya Spain, mji wa Madrid, John anatoka nchi ya Portgual, mji wa Lisbon.
John does not come from Madrid, Spain, John comes from Lisbon, Portugal.
Tunatoka nchi ya America, mji wa New York.
We come from New York, America.
Hatutoki nchi ya Portugal, mji wa Lisbon, tunatoka nchi ya America, mji wa New York
We don’t come from Lisbon, Portgual, we come from New York, America.
Mnatoka nchi gani?
Which country do you all come from?
Tunatoka nchi ya___.
We come from___.
Hamtoki nchi ya China, mnatoka nchi ya Australia
You all do not come from China, you all come from Australia.
Wanatoka nchi ya Portgual, mji ya Lisbon.
They come from Lisbon, Portugal.
Hawatoki nchi ya Spain, mji wa Madrid, wanatoka nchi ya Portgual, mji wa Lisbon
They do not come from Madrid, Spain they come from Lisbon Portugal
Unatoka wapi?
Where are you from?
Ninatoka nchi ya Kenya, mji wa Nairobi
I am from Nairobi, Kenya
Mnatoka wapi?
Where are you all from?
Tunatoka nchi ya Russia, mji wa Moscow
We are from Moscow, Russia
Wanatoka nchi ya Sweden?
Do they come from Sweden?
Hapana, hawatoki nchi ya Sweden, wanatoka nchi ya Norway.
No, they don’t come from Sweden, they come from Norway
Wanatoka nchi ya India?
Do they come from India?
Ndiyo, wanatoka nchi ya India.
Yes, they come from India.
Jane anatoka nchi gani?
Which country is Jane from?
Jane anatoka nchi ya Switzerland.
Jane comes from Switzerland.