Piga Verbs Flashcards
1
Q
To beat, strike, operate equipment
A
Kupiga
2
Q
To sneeze
A
Kupiga chafya
3
Q
To ring a bell
A
Kupiga kengele
4
Q
To kneel
A
Kupiga magoti
5
Q
To clap, applaud
A
Kupiga makofi
6
Q
To dive
A
Kupiga mbizi
7
Q
To yawn
A
Kupiga miyayo
8
Q
To whistle
A
Kupiga mluzi
9
Q
To punch
A
Kupiga ngumi
10
Q
To take a photo
A
Kupiga picha
11
Q
To kick
A
Kupiga teke
12
Q
To vote
A
Piga kura