Phrases Flashcards
Habari gani?
How are you?
Sasa?
What’s up?
Mambo
What’s up
Vipi
How’s it going
Habari za asubuhi?
How is your morning?
Habari za mchana?
How is your afternoon?
Habari za jioni?
How is your evening?
Nakutakia usiku mwema
Wishing you a good night
Na wewe pia
And you as well
Lala salama
Sleep well
Asante sana
Thank you very much
Kwa heri
Goodbye
Samahani
Excuse me/sorry
Pole
Sorry
Unaitwa nani?
What are you called?
Mimi naitwa/ninaitwa
I am called…
Jina lako ni nani?
What is your name?
Jina langu ni
My name is…
Unaishi wapi?
Where do you live/stay?
Ninaishi
I live/stay
Unafanya kazi gani?
What do you do for work?
Una umri wa miaka mingapi?
How old are you?
Nina umri wa miaka ishrini na tisa
I am 29 years-old
Karibu
You’re welcome
Unapenda kufanya nini?
What do you like to do?/What are you hobbies?
Nimefurahi kukutana na wewe
It’s a pleasure to meet you
Usiku mwema
Good night