Nouns Flashcards
Mgeni
Wageni
Visitor(s)
Guest(s)
Mjomba
Wajomba
Uncle(s)
Mke
Wake
Wife
Wives
Mkulima
Wakulima
Farmer(s)
Mpishi
Wapishi
Cook(s)
Msichana
Wasichana
Girl(s)
Mtu
Watu
Person
People
Mume
Waume
Husband(s)
Mvulana
Wavulana
Boy(s)
Mzee
Wazee
Older person
Older people
Mzungu
Wazungu
White person
White people
Mwanaume
Wanaume
Man
Men
Mwanamke
Wanawake
Woman
Women
Mwalimu
Walimu
Teacher(s)
Mwanafunzi
Wansfunzi
Student(s)
Learner(s)
Mwafrika
Waafrika
African person
African people
Baba
WA class
Father
Babu
WA class
Grandfather
Mama
WA class
Mother
Bibi
WA class
Grandmother
Dada
WA class
Sister
Kaka
WA class
Brother
Rafiki
WA class
Friend
Shangazi
WA class
Aunt
Samaki
WA class
Fish
Mbwa
WA class
Dog
Paka
WA class
Cat
Ng’ombe
WA class
Cow
Kuku
WA class
Chicken
Mdudu
Wadidu
Insect(s)
Nyuki
WA class
Bee
Mbu
Wabu
Mosquito(s)
Nzi
WA class
Fly
Mtoto
Watoto
Child
Children
Kipofu
Vipofu
Blind person(s)
Kiziwi
Viziwi
Deaf person(s)
Kiti
Viti
Chair(s)
Kitanu
Vitabu
Book(s)
Kiatu
Viatu
Shoe(s)
Kikombe
Vikombe
Cup(s)
Kilima
Vilima
Hill(s)
Kisiwa
Visiwa
Island(s)
Kiazi
Viazi
Potato(s)
Kitunguu
Vitunguu
Onion(s)
Kitu
Vitu
Thing(s)
Kitanda
Vitanda
Bed(s)
Kioo
Vioo
Mirror(s)
Kiberiti
Viberiti
Match(es)
Chuo
Vyuo
College(s)
Choo
Vyoo
Toilet(s)
Chakula
Vyakula
Food(s)
Chumba
Vyumba
Room(s)
Cheti
Vyeti
Certificate(s)
Chama
Vyama
Party
Parties
Chuma
Vyuma
Iron(s)
Chombo
Vyombo
Tool(s)
Cheo
Vyeo
Rank(s)
Kichwa
Vichwa
Head(s)
Hiuno
Viuno
Waist(s)
Kifua
Vifua
Chest(s)
Kidole
Vidole
Finger(s)
Mti
Miti
Tree(s)
Mnazi
Minazi
Coconut tree(s)
Mchungwa
Michungwa
Ornage tree(s)
Mwembe
Miwembe
Mango tree(s)
Mtofaa
Mitofaa
Apple tree(s)
Mpapai
Mipapai
Papaya tree(s)
Mndimu
Mindimu
Lime tree(s)
Mgomba
Migomba
Banana tree(s)
Mmea
Mimea
Plant(s)
Mdomo
Midomo
Mouth(es)
Mkono
Mikono
Hand(s)
Mguu
Miguu
Leg(s)
Mfupa
Mifupa
Bone(s)
Mgongo
Migongo
Back(s)
Moyo
Mioyo
Heart(s)
Mwili
Miwili
Body
Bodies
Mwaka
Miaka
Year(s)
Mwavali
Miavali
Umbrella(s)
Mwezi
Miezi
Month(s)
Mwiba
Miiba
Thorn(s)
Mwisho
Miisho
End(s)
Muhindi
Mihindi
Corn
Muhogo
Mihogo
Cassava(s)
Muwa
Miwa
Sugar cane
Mfano
Mifano
Example(s)
Mji
Miji
City
Cities
Mkoba
Mikoba
Bag(s)
Mfuko
Mifuko
Bag(s)
Mlango
Milango
Door(s)
Mtihani
Mitihani
Exam(s)
Majarabu
Mijarabu
Test(s)
Mlima
Milima
Hill(s)
Mountain(s)
Mpira
Mipira
Ball(s)
Mkate
Mikate
Bread(s)
Mto
Mito
River(s)
Mungo
Miungo
God(s)
Blanketi
Mablanketi
Blanket(s)
Dirisha
Madirisha
Window(s)
Gari
Magari
Car(s)
Gazeti
Magazeti
Newspaper(s)
Godoro
Magorodo
Matress(es)
Sanduka
Masanduka
Box(es)
Jiko
Majiko
Gas cooker(s)
Baraza
Mabaraza
Veranda(s)
Daraja
Madaraja
Bridge(s)
Duka
Maduka
Shop(s)
Soko
Masoko
Market(s)
Ziwa
Maziwa
Lake(s)
Jimbo
Majimbo
State(s)
Jina
Majina
Name(s)
Kosa
Makosa
Mistake(s)
Neno
Maneno
Word(s)
Jambo
Majambo
News
Issue(s)
Jiwe
Mawe
Stone(s)
Somo
Masomo
Lesson(s)
Wazo
Mawazo
Thought(s)
Jibu
Majibu
Answer(s)
Swali
Maswali
Question(s)
Jukuma
Majukuma
Responsibility
Responsibilities
Juma
Majuma
Week(s)
Jicho
Macho
Eye(s)
Jino
Meno
Tooth
Teeth
Bega
Mabega
Shoulder(s)
Sikio
Masikio
Ear(s)
Chungwa
Machungwa
Orange(s)
Embe
Maembe
Mango(s)
Nanasi
Mananasi
Pineapple(s)
Papai
Mapapai
Papaya(s)
Dafu
Madafu
Coconut(s)
Tofaa
Matofaa
Apple(s)
Jani
Majani
Leaf
Leaves
Yai
Mayai
Egg(s)
Rinda
Marinda
Dress(es)
Maji
Water
Mafuta
Oil
Maharagwe
Beans
Matata
Problems
Barua
Letter(s)
Chupa
Bottle(s)
Dawa
Drug(s)
Medicine(s)
Kalamu
Pen(s)
Karatasi
Paper(s)
Ngoma
Drum(s)
Sabuni
Soap
Sahani
Plate(s)
Sufuria
Pan(s)
Suruali
Trousers
Chaki
Chalk(s)
Nguo
Clothes
Meza
Table(s)
Taa
Lamp(s)
Ardhi
Earth
Ground
Bahari
Sea(s)
Barafu
Ice
Hewa
Air
Mvua
Rain(s)
Njia
Route(s)
Way
Bandari
Harbour(s)
Barabara
Road(s)
Nahi
Country
Countries
Ajali
Accident
Bahati
Luck
Furaha
Joy
Hasara
Loss(es)
Hatari
Danger(s)
Huzuni
Sadness
Nguvu
Strength
Shida
Problem(s)
Thamani
Value(s)
Dakika
Minute(s)
Sifa
Praise
Ndoto
Dream(s)
Shughuli
Business(es)
Chai
Tea
Chumvi
Salt
Kahawa
Coffee
Mboga
Vegetable(s)
Nazi
Coconut(s)
Ndizi
Banana(s)
Nyama
Meat
Pilipili
Pepper(s)
Siagi
Butter
Sukari
Sugar