Nouns Flashcards
Child
Mtoto / Watoto
Elder
Mzee/ wazee
Farmer
MKulima (wa-)
Business
Biashara
shop
Duka
Market
Soko
Clothing
Nguo
Salt
Chumvi
Oil
Mafuta
Flour
Unga
Soap
Sabuni
Sugar
Sukari
Garden
Bustani
Work
Kazi (-)
Seed
Mbegu (-)
Rain
Mvua
Person
MTu / Watu
Tree
Mti/ Miti
Fruit
Tunda / Matunda
Thing
Kitu/ Vitu
House
Nyumba
Wall
Ukuta/ Kuta
Love
Upendo
Place
Mahali
Teacher
Mwalimu/ Walimu
Student
Mwanafunzi/ Wanafunzi
Farmer
Mkulima (wa-)
Woman
Mwanamke / Wanawake
Man
Mwanaume / Wanaume
Girl
Msichana/ Wasichana
Boy
Mvulana / Wavulana
Bread
Mkate/ Mikate
Loan
Mkopo / Mikopo
Cook
Mpishi/Wapishi
Exam
Mtihani/Mitihani
Mango tree
Mwembe/Miembe
Orange tree
Mchungwa/Michungwa
Hand
Mkono/Mikono
Foot/ Leg
Mguu / Miguu
Back
Mgongo/Migongo
stove
Jiko / Majiko
Farm Plot
shamba/ Mashamba
crop
Zao/Mazao
Harvest
Vuno/Mavuno
Eye
Jicho/Macho
Egg
Yai / Mayai
Fruit
Tunda/Matunda
Friend
Rafiki/ Marafiki
Mango
Embe / Maembe
Thing/ Object
Kitu/Vitu
Chair
Kiti/ viti
Book
Kitabu/Vitabu
Food
Chakula/Vyakula
Head
Kichwa/ Vichwa
Back of the head
Kisogo / Visogo
Rhino
Kifaru / Vifaru
Hippo
Kiboko/Viboko
Frog
Chura/Vichura
Butterfly
Kipepeo/Vipepeo
Bed
Kitanda / Vitanda
spoon
Kijiko (Vi-)
Cup
kikombe (Vi-)
Toilet
Choo/ Vyoo
Question
swali
Nursery
Kitalu (Vi_)
Room
Chumba / Vyumba
Potato
Kiazi (Vi_)
Certificate
Cheti/Vyeti
Gateguard
Askari
Vegetable
Mboga
Table
Meza
Pen
Kalamu
Neck
Shingo
Carrot
Cake
Keki
Chicken
Kuku
Cabbage
Kabeji
Auntie
Shangazi
Meat
Nyama
Cat
Paka
Banana
Ndizi
Coconut
Nazi
Camel
Ngamia
Dog
Mbawa
Goat
Mbuzi
Sheep
Kondoo
Horse
Farasi
Donkey
Bathroom
Bafu
Mind, intelligence
Akili
Training, lesson
Funzo
Responsability
Jukumu
Pen
Kalamu
Paper
Karatasi
Secretary
Katibu
Meeting
Kikao
Group
Kikundi
Leader
Kiongozi
Earning
Pato
Communications
Mawasiliano
Lesson
Somo
Seller
Mwuzaji
Buyer
Mnunuzi
Customer
Mteja
Profit
Faida
Money
Hela (Tanzania, Mombasa)
Money
Pesa (Cash)
Money/Silver (less used than pesa and hela)
Fedha
Percentage
Asilimia