Mpya Flashcards
1
Q
Traffic jam
A
Msongamano
2
Q
Room
A
Chumba / vyumba
3
Q
Duck
A
Bata / bata mzinga duck/ bata bukini turkey
4
Q
Calm
A
Tulivu
5
Q
To show
A
Kuonyesha
6
Q
Open / private
A
Wazi au binafsi
7
Q
To prepare
A
Kutayariaha
8
Q
They were sad
A
Walikuwa na hofu
9
Q
Mask
A
Barakoa
10
Q
To change
A
Kubadilisha
11
Q
It is against the law
A
Ni kinyume na sheria
12
Q
Organisation
A
Mashirika
13
Q
Boarding school
A
Shule ya bweni
14
Q
Notebook
A
Kitabu kia kuandikia - vitabu vya kuandikia / daftari - madaftari
15
Q
Form 1
A
Kidato cha kwanza
16
Q
Province - province school
A
Shule ya mkoa
17
Q
Up to / till
A
Hadi
18
Q
Uniform
A
Sare
19
Q
Lake
A
Ziwa
20
Q
Park
A
Mbuga
21
Q
Sport
A
Michezo
22
Q
He is retired
A
Amestaafu
23
Q
Grand child
A
Mjukuu /wajukuu
24
Q
Great grand child
A
Kitukuu /vitukuu
25
To inherit
Kurithi
26
International
Kometaifa
27
Generation
Kizazi
28
Beautiful
Maradadi
29
Swimming pool
Bwawa
30
It is clear
Ni shwari tu
31
it is enough
Inatosha au haiyoshi
32
Moderate
Wastani
33
Area
Eneo /maeneo
34
To flood
Ziwa la nakuru lilifurika - kufurika
35
To decrease
Kupunguza
36
One of the reasons
Mojawapo ya sababu
37
Chef
Mpishi/wapishi
38
Fisherman
Mvuvi /wavuvi
39
Techniques
Mbinu /mbinu
40
Trap
Mtego/mitego
41
Mad
Kichaa/ wazimu
42
My son
Mwanangu
43
Son
Mwana / wana
44
100 000
Laki
45
My duck got chicks
Bata wangu ameagua vifaranga
46
My duck got chicks
Bata wangu ameagua vifaranga
47
A friend invited us to stay here.
Rafiki alitualika kukaa hapa
48
To invite
Kualika
49
It' his partner
Ni mshirika wake
50
She is coming for holiday apres la fin du terme
Anakuja kwa likizo baada ya kufunga muhula
51
Manners
Adabu
52
Swimming pool
Bwawa la kuogelea
53
This week there were drops of water
Wiki hii kulikuwa na matone ya mvua
54
We hope
Tunatarajia
55
Total
Jumla
56
Kite surf
Kuendesha tiara
57
Wind
Upepo
58
Lazy
Mvivu
59
Letters (A)
Herufi
60
It's funny
Inachekesha
61
Will you be available?
Utapatikana?
62
School comittee
Kamati ya shule
63
Parents representative
Mwakilishi wa wazazi
64
To register
Kusajili
65
Exams
Mtihani
66
Beginning
Mwanzo
67
To ensure
Kuhakikisha
68
List
Orodha
69
Leadership
Uongozi
70
Wage
Mshahara
71
Allowance
Marupurupu
72
Carefully
Taratibu
73
Sand
Mchanga
74
To send
Kupeleka (umepeleka wapi?)