Medical Swahili Flashcards
Joto
Fever
Homa
Cold
Anasikiaje leo
How does he/she feel today?
Una/Ana/uguaje
How is he/she sick?
Tangu lini
For how long?
Una (ana) umwa wapi
Where do you (he) hurt?
Una (ana) umwa Kichwa
Does hour head hurt?
Kichwa
Head
Macho
eyes
Unaumwa Macho?
Do your eyes hurt?
Mapua
nose
Una (ana)umwa mapua?
Does your nose hurt?
mdomo
mouth
Umwa
hurt
koo
throat
kifua
chest
tumbo
stomach
mgongo
back
mkono
arm/hand
mguu
leg/foot
viungo
joints
shingo
neck
Ilianzaje?
How did it (illness) start?
Ilianza na…
It started with
anza
to start
Una (Ana) homa?
do you have a cold?
Una (Ana) Joto?
Do you have fever?
Unatapika?
Are you vomiting?
Una (ana) hara?
Do you have diarrhea?
Una (ana) kohoa?
Are you coughing?
Una (Ana) pumua haraka?
Are you breathing faster?
kuendesha
to have diarrhea
Una (ana) sikia jasho usiku?
Do you have night sweats?
Una (ana) punguza uzito?
Are you losing weight
Uzito
weight
Kilo ngapi?
How many kilos?
Una (Ana) kula vizuri?
Are you eating ok?
Una (Ana) kunywa vizuri?
Are you drinking ok?