Maneno Flashcards
leg
mguu
Pl. miguu
luck, chance, fate
bahati
building
jumba
hall / dormitory
bweni
area of / region of
eneo la
university
chuo kikuu
sit / stay / reside
-kaa
in
katika / kwenye
city
jiji
listen here
eti / hebu
to fail / be beaten
-shindwa
to be wrong / mistaken
-kosea
My goodness!
Jamani!
it seems
inaonekana
companion
mwenzi
laugh
-cheka
hope / expect
-tumai
ready
tayari
to be separated
-tengana
wife
mke
to reunite
-rudiana
divorce
talaka
to finish
-maliza
after
baada ya
to expect / anticipate / rely on
-tegema
marriage
ndoa
to tie the knot (marriage)
-funga ndoa
relatives
jamaa
plans / arrangements
mipango
end (n.)
mwisho
personality, character
tabia
husband
mume
child (of one’s own)
mwana
second (2nd)
wa pili
to look alike / resemble
-fanana
grandfather
babu
uncle (maternal)
mjomba
grandmother
bibi
hundred
mia
thousand
elfu
administration (gov’t)
utawala