Lesson 1 Flashcards
Hujambo!
Sijambo!
Bwana
Mr., husband, gentleman
Mwalimu
Teacher
Mwanafunzi
Student
Habari gani? (what’s the news?)
Nzuri
Nzuri sana
Trafsiri: Habari za asubuhi?
How are you this morning?
mchana
afternoon
Jioni
Evening
Ndugu
Sibling, cousing, relative
Bibi
Mrs, Ms
Maamkio
Greetings
Juma, sema, sijambo!
Juma, say, sijambo!
Au
Or
gani
what kind? what sort?
habari
news
mzee
wazee
elder (singular)
elders (plural)
Je
used in asking a question; can be glossed as “what about?”
salama
safety, security, peace (used in grreetings)
tu
only, just, merely
haya
alright
mwingine
another person, other person
somo la pili
second lesson
baina ya watu wawili
between two people
mazungumzo
conversation/ dialogue
zoezi
mazoezi
lesson
lessons
Asante
Asanteni
Thank you
Thank you (to multiple people)
Hamjambo?
(use when greeting more than one person)
Hatujambo.
what is the -ni suffix used for?
It is added to a command given to more than one person.
One
Two
Three
Four
Five
Moja
Mbili
Tatu
Nne
Tano
Six
Seven
Eight
Nine
Ten
Sita
Saba
Nane
Tisa
Kumi
1st Lesson
2nd Lesson
3rd Lesson
4th Lesson
somo la kwanza
somo la pili
soma la tatu
soma la nne
mwanafunzi wa kwanza
zoezi la kwanza
ukurasa wa kwanza
first student
first exercise
first page
Mimi
I
Wewe
You (singular)
Yeye
He or She
Sisi
Us
Ninyi
You (plural)
Wao
They
Wengi
Many
Lakini
But
Baba Ali hajambo?
How is Ali’s father?
mgonjwa
sick
Baba Ali hajambo, lakini yeye ni mgonjwa kidogo.
Ali’s father is fine, but he is a little sick.
I come from the state of…
Ninatoka jimbo la…
I now live in _______, what about you?
Sasa ninakaa __________, na wewe je?
I now stay in the city of, in the sate of…
Sasa ninakaa mji wa ______, jimbo la _____.
I study at the University of America…
Ninasoma Chuo Kikuu cha Amerika
I study Swahili and International relations, what about you?
Ninajifunza Kiswahili na Uhusiano wa Kimataifa na wewe je?
Do you like the conditions (weather) of Washington DC and American?
Je, unapenda hali ya Washington DC na Chuo Kikuu cha Amerika?
Yes I like the conditions in Washington DC.
No, I don’t like the conditions in Washington DC.
Ndyio ninapenda hali Washington DC.
Hapana sipendi hali Washington DC.
Good bye till we see eachother again.
Kwa heri ya kuonana.
Njema
Salama
Safi
Sawa
Poa
Nice
Peaceful
Clean
Fine
Cool
U hali gani?
M hali gani?
Greeting for two people greeting each other.
One person greeting many people.
Tutaonana baadaye
We will see each other later.
Shuleni
school
Chuoni
College