Lesson 1 - 3 (English - Swahili) Flashcards
How are you?
Direct
Habari
Good
Nzuri
How are you?
Personal
Habari yako?
How are you all?
Habari zenu?
My name is …
Jina langu ni …
Goodbye
Kwaheri
Hello
Sasa
How are you?
Informal
Mambo
Fine
Poa
Come
Kuja
Buy
Nunua
Sell
Uza
Invest
Wekeza
Look
Angalia
See
Ona
Pay
Lipa
Persuade
Shawishi
Send
Tuma
Walk
Tembea
Sit
Keti
Stand
Simama
Sleep
Lala
Wake Up
Amka
Go
Enda or Nenda
Attendant
Mhudumu
Client
Mteja
Seller
Muuzaji
Buyer
Mnunuzi
Guard
Mlinzi
Hawker
Mchuuzi
Trader
Mfanyibiashara
Investor
Mwekezaji
Donor/Sponsor
Mfadhili
Child/Baby
Mtoto
Girl
Msichana
Boy
Mvulana
Old Person
Mzee
Woman
Mwanamke
Teacher
Mwalimu
Student
Mwanafunzi
Visitor
Mgeni
Youth
Kijana
Parent
Mzazi
Me/I
Mimi
You
Wewe
She/He
Yeye
We/Us
Sisi
You All
Nyinyi
They
Wao
Manager
Meneja
Employer
Mwajiri
Employee
Mwajiriwa
Director
Mkurugenzi
Accountant
Mhasibu
Refrigerator
Jokofu
Iron
Pasi
Mirror
Kioo
Pot
Sufuria
Spoon
Kijiko
Knife
Kisu
Fork
Uma
Cup
Kikombe
Book
Kitabu
Table
Meza
Friend
Rafiki
Pen
Kalamu
Computer
Tarakilishi
Take
Chukua
Remove
Ondoa
Take Back/Return
Rudisha
Bring
Leta
Carpet
Zulia
Television
Runinga
Plate
Sahani
Chair
Kiti