Lesson 1 Flashcards
Maamkizi
Les salutations (noun)
Kuamkia
Saluer (verbe)
Kusalimu
Saluer (verbe: locale)
Somo la kwanza
La première leçon
Swahili sanifu
The «good» Swahili (original)
Kusoma
To read
Mfano
Un example (s)
Mifano
Un example (pl)
Ninakusalimu
I greet you (s)
Ninawasalimu
I greet you (pl 2+)
Misemo
Les expressions
Majibu
Les réponses
Jambo bwana
Hello sir
Jambo mama
Hello madam
Jambo mtoto
Hello child
Jambo kijana
Hello young one
Jambo kaka
Hello brother
Jambo dada
Hello sister
Ndugu
Sibling
Wababa
Men (pl)
Wamama
Women (pl)
Watoto
Children
Vijana
Young people
Wakaka
Brothers
Wadada
Sisters
Wandugu
Siblings
Hujambo ?
Is nothing the matter with you?
Sijambo.
Nothing is wrong with me
Hamjambo ?
Is nothing the matter with you all?
Hatujambo.
Nothing is wrong with us.
Vipi ?
How are things?
Salama tu
Just safe/ok
Nimesha poa
Things were not ok, I’m now comforted/cool
U hali gani ?
Ça va ?
Mzuri
Good
Hali ya afia ?
How is your health?
Niko mzima
I am healthy
Hali ya usalama ?
How is the security situation?
Mbaya
Bad
U mzima?
Are you keeping well?
U mzima?
Are you keeping well?
Apana, ninaumwa (sanifu)
Apana, ninagonjwa (local)
Apana, niko mgonjwa (local)
No, I am sick
Habari ?
Les nouvelles
Habari gani ?
What news ?
Habari ya nyumbani?
Comment ça va à la maison ?
Habari za watoto?
Comment vont les enfants ?
Habari ya kazi?
Comment va le travail ?
Habari ya safari?
Comment va le voyage ?
Habari ya afia yako?
Comment va ta santé ?
Habari za siku nyingi?
Comment ça va (après longtemps)
Inaendelea mzuri
Ca va bien
Shikamuu (s)
Shikamuuni (pl)
Greeting a respected person/superior; mostly in Tanzania
Marahabai
Delightful
Umelamuka?
Ushalamuka?
Mumelamula? (pl)
Mushalamuka? (pl)
Did you already wake up?
Naweye?
And you?
Habari ya asubui?
How is your morning going?
Habari ya mchana?
How is your day going?
Habari ya jioni?
How is your evening going?
Habari ya usiku?
How is your night going?
Kulala
To sleep
Kuamka
To wake up
Umelalaje?
How have you slept? (Used mainly to a sick person)
Salama
Peacefully
Umeshinda?
Umeshindaje?
How have you spent your day? (Usually from noon-later)
Response: Ndiyo
Je=how/comment when at the end of a word
Asubui njema
Have a good morning
Mchana mwema
Have a good day
Jioni njema
Have a good evening
Usiku mwema
Have a good night
Asubui njema kwako
Asubui njema kwenu (pl)
Have a good evening to you/you all
Asubui njema kwako
Asubui njema kwenu (pl)
Have a good evening to you/you all
Asante, nkwako piya!
Thank you, the same to you!
Tunamshukuru Mungu!
We thank God!
Kutambua
To recognize
Kutbulisha
To make someone known; se presenter
Je, unanitambua?
Do you recognize me?
Je at the beginning = emphasis
Kitambulisho
Vitambulisho (pl)
Identify card(s); ex: carte de service; electoral card
Onesha kitambulisho kyako.
Muoneshe vitamulisho vyenu (pl)
Show your identity card
Jina
Majina (pl)
Name(s)
Jina lako nani?
What’s your name?
Jina langu ni…
My name is…
Unaitwa nani?
How are you called?
Kwa majina, ninaitwa…
By names, I am called… (first & last)
Wewe ni nani?
Who are you? (Inf)
Mimi ni…
Je suis…
Uko nani?
Who are you? (Inf)
Niko…
Je suis…
Mahali unatoka
The place you’re from; origin
Unatoka wapi?
Where are you from/coming from?
Ninatoka Marekani.
I’m from the USA.
Ninatoka masomoni.
I’m coming from school.
Ninatoka shuleni.
I’m coming from school.
Ninatoka kanisani.
I’m coming from church.
Ninatoka nyumbani.
I’m coming from home.
Ninatoka kazini.
I’m coming from the job.
Ninatoka ofisini.
I’m coming from the office.
Ninaenda…
I’m going to…
Umetoka wapi?
Where were you from?
Nimetoka nchi ya…
I was from the country of…
Umetoka nchi gani?
What country are you from?
Kaskazini
North
Mashariki
East
Kusini
South
Mangharibi
West
Umezaliwa wapi?
Where were you born?
Nimezaliwa…
I was born in…
Mimi ni mzaliwa wa…
I’m a native of…
Nchi yangu ni…
My country is…
Mimi nimezaliwa Marekani, lakini niko mkongomani.
I was born in America, but I am Congolese.
Wakongomani
The Congolese people
Haraka haraka, haina baraka!
Hurry, hurry, has no blessing!
Kina mwanzo, kina muisho!
Everything that has a beginning has an end.
Nchi ya Merekani, taifa la Colorado, mujini Denver
Country of USA, state of Colorado, city of Denver
Umoja wa mataifa
United Nations (U.N.)
Anuani
Address
Kukaa
To live/stay
Ku keti
To sit
Tafadhali
Please
Tafadhali, keti (s)
Tafadhali, muketi (pl)
Please, sit down
Unakaa wapi? (s)
Munakaa wapi? (pl)
Where do you stay?
Nakaa mujini Beni, kata Ntoni, karibu na mosomo “La Pepinère,” nawewe?
I live in the town of Beni, Ntoni neighborhood, nearby the school “La Pepinère,” and you?
Nyumbani ni wapi?
Where is home?
Unaweza nipa nambo yako ya simu?
Can you give me your phone number?
Ndio, hakuna shida/matata
Sure, no problem
Naweza
I can
Siwezi
I can’t
Namba yangu ya simu ni…
My phone number is…
Sifuri
0 (zero)
Moja, moya
1
Mbili
2
Tatu
3
Nne, ine
4
Tano
5
Sita
6
Saba
7
Mnane
8
Tisa, kenda
9
Kumi
10
Kuowa
To marry (for a man)
Kuolewa
To marry (for a woman; passive voice)
Umeowa?
Are you already married? (To a man)
Je, ume olewa?
Are you married? (To a woman)
Mume
Husband
Muke
Wife
Bado, sijaowa.
I’m not yet married (for a man)
Bado, sija olewa.
I’m not yet married. (For a woman)
Ndio, nimeshaowa.
Yes I’m already married (for a man)
Ndio, nimeshaolewa.
Yes I’m already married (for a woman)
Una mume?
Do you have a husband?
Una muke?
Do you have a wife?
Hapana, sina mume.
Ndio, nina mume.
No, I don’t have a husband.
Yes, I have a husband.
Mume, iko nijiani!
Il est en route!
Nasubiri muda wa bwana!
I wait for the time of the Lord!
Una watoto wangapi?
How many children do you have?
Umri
Age
Mwaka (s)
Miaka (pl)
Year(s)
Una umri ya miaka ngapi?
Una miaka ngapi? (Local)
How old are you?
Nina umri ya miaka makumi tatu.
I’m 30 years old.
Siku
Day
Juma/wiki
Week
Mwenzi
Month
Mwaka
Year
Sika za juma
Days of the week
Mwezi za mwaka
Months of the year
Aquilas ana umri ya miaka ngapi?
How old is Aquilas?
Aquilas ana umri ya miaka makumi tatu na mnane.
Aquilas is 38 years old.
Aquilas ana umri ya miaka makumi tatu na mnane.
Aquilas is 38 years old.
Aquilas ana umri ya miaka makumi tatu na mnane.
Aquilas is 38 years old.
Lugha
Language
Lugha ya kifaransa
French language
Lugha ya kingereza
English language
Lugha ya Kiswahili
Swahili language
Unaongea lugha gani?
You speak what language?
Ninaongeya…
Naongegya…
I speak…
1) tense actuel
2) tense habituel
Kusema
To say/express
Kuongea
To speak
Kuzumgumuza
To chat with
Unaweza zungumuza na lugha gani?
You can talk in which language?
Ninaweza zungumza na kingereza.
I can talk in English
Samahani
Sorry
Samahani, nitaongea kwa kifaransa.
Sorry, I will speak in French.
Sijui swahili vizuri.
I don’t know Swahili well.
Kutafsiri
To translate
Unaweza tafsiri kwa…?
Can you translate in…?
Mutafsiri
Translator
Ninahitaji mutafsiri.
I need a translator.
Mazungumzo
Maongezi
Conversation
Nina maongezi nawe.
I have a conversation with you.
Unasema nini?
What do you say?
Naelewa
I understand
Ninakuelwa
I understand you
Sielewi
I don’t understand
Sikuelewi
I don’t understand you
Je, unanielewa? (s)
Je, munanielewa? (pl)
Do you understand me?
Mwalimu (s)
Waalimu (pl)
Teacher(s)
Mwanafunzi (s)
Wanafunzi (pl)
Student(s)
Mwalimu wangu wa kiswahil na kifaransa ni bwana Aquilas.
My teacher of Swahili and French is Mr. Aquilas.
Niko mwanafunzi wa Kiswahili.
I’m a Swahili learner/student.