Kiswahili Flashcards
Mfaransa
French person
Wafaransa
French people
mfinyanzi
potter
wafinyanzi
potters
mgeni
guest
wageni
guests
mgonjwa
sick person
wagonjwa
sick people
Mhindi
Indian person
Wahindi
Indian people
Mjerumani
German person
Wajerumani
German people
Mkristo
Christian person
Wakristo
Christians
wakulima
farmers
mkulima
farmer
mpokeaji
receptionist
wapokeaji
reciptionists
mtalii
tourist
watalii
tourists
mtoto
child
watoto
children
mwalimu
teacher
walimu
teachers
mwanafunzi
student
wanafunzi
students
mwanamke
woman
wanawake
women
mwanaume
man
wanaume
men
Mwislamu
Muslim
Waislamu
Muslims
mwuguzi
nurse
wauguzi
nurses
mzee
old man
wazee
old men
Mzungu
European
Wazungu
Europeans
Ubelgiji
Belgium
Uingereza
England, Britain, UK
Uchina
China
Ujerumani
Germany
Ufaransa
France
Ulaya
Europe
Uganda
Uganda
Ureno
Portugal
Ugiriki
Greece
Urusi
Russia
Afrika ya Kusini
South Africa
Bara Hindi
India
Hispania
Spain
Marekani
USA
Misri
Egypt
Msumbiji
Mozambique
dereva
driver
teksi
taxi
sana
very, very much
hapana
no
nakwenda
I’m going (to)
posta
post office
iko
it is (located)
karibu
near, nearby
nenda
go (to one person)
moja kwa moja
straight on