Key phrases, kap 2 Flashcards
1
Q
habari za hapa?
A
how are things here?
2
Q
hawa hapa ni bibi yangu na babu yangu
A
here are my grandparents
3
Q
huyu hapa ni baba yangu
A
here is my father
4
Q
huyu ni rafiki yangu
A
this is my friend
5
Q
karibuni nyumbani
A
karibuni nyumbani
6
Q
nimefurahi kuwaona
A
im glad to see/meet them
7
Q
nimependa sana tanzania
A
i like tanzania a lot
8
Q
rafiki yako anatoka wapi?
A
where does your friend come from?
9
Q
rafiki yangi anatoka …..
A
my friend comes from ….
10
Q
unapenda kiswahili?
A
do you like swahili?
11
Q
unapenda tanzania?
A
do you like tanzania?