Karibu! Saying hello Dialogue 2 Flashcards
Hamjambo
Hatujambo
Shikamoo!
Marahaba! Habari za kazi?
Nzuri mzee, shikamoo
Marahaba. Jina lako nani?
Jina langu Karin
Habari za safari?
Njema
Na wewe jina lako nani?
Jina langu Karin
Habari za leo?
Salama
Mnafanya kazi hapa?
Ninafanya kazi TAZARA huko Dar es Salaam
Na mimi ninasoma chuo kikuu
Karibuni Unguja
Asante
Kwaherini
Kwaheri
how are you?
we are well
my respect
you’re most welcome, how is work?
good elder, my respect
you’re welcome. What’s your name?
My name is Karin
How’s the journey?
good
and you, what’s your name?
How are you today?
fine
Are you working here?
I’m working for TAZARA over there in Dar es Salaam
And I am studying at the University.
Welcome to Zanzibar
Goodbye
My respects!
(someone of higher status or older)
Shikamoo
Welcome (used with Shikamoo) acknowledgement of the respect)
Marahaba
work
kazi
old man
mzee
name
jina
majina (plural)
your (name)
lako
who? what person?
nani?
my (name)
langu
journey
safari
today
leo
do, make
-fanya
here
hapa
read, study
-soma
Zanzibar
Unguja