Intro Flashcards
Hi, I’m Gabriele. Nice to meet you.
Habari, mimi ni Gabriele. Ninafuraha kukutana na wewe.
Hello, my name is Gabriele Negro. Nice to meet you.
Shikamoo. Jina langu ni Gabriele Negro. Ninafuraha kukutana na wewe.
Thank you very much.
Asante sana.
You’re welcome.
Karibu.
Not at all.
Kamwe.
Good evening.
Habari ya jioni.
Goodbye.
Kwaheri.
See you soon.
Tuonante tena.
Do you speak English?
Unaongea Kiingereza?
Je, unaweza ongea Kiingereza?
Samahani, unaweza ongea Kiingereza?
Yes
Ndio
A little
Kidogo
No, I don’t speak English.
La, siongei Kiingereza.
Italian
Kitallia
Excuse me
Samahani
Pardon me
Niwie radhi
1
Moja
2
Mbili
3
Tatu
4
Nne
5
Tano
6
Sita
7
Saba
8
Nane
9
Tisa
10
Kumi
0
Sufuri
My number is…
Nambari yangu ni…
How mush is this?
Hii ni pesa ngapi?
It costs…
Ni shilingi…
Excuse me, how much is this bag?
Samahani, begi hii ni pesa ngapi?
Excuse me, how much are these shoes?
Samahani, viatu hivi ni pesa ngapi?
Can I pay by credit card?
Naweza lipa kwa kadi ya kredit?