Helpful Everyday Flashcards
Bei gani?
what’s the price
Shilingi ngapi?
how much in shillings?
bei mwananafunzi tafadali
student price please
Una ___
Thing you want
Sina pesa
I don’t have money
Ninapesa kidogo
I have a little amount of money
Nina 20,000 tu
I have only 20,000 shillings
nitachukua
ill take it
Hitaji
need
weze
be able/can
jua
know/realize (also sun)
Elewa
understand
fahamu
understand
enda
go
toka
get out
kaa
sit
Siku
a day
Gani
which
siku gani
which day
wiki juma
a week
ilikuwa
it was
itajuwa
it will be
leo
today
kesho
tomorrow
kesho kutwa
day after tomorrow
jana
yesterday
juzi
day before yesterday
unaenda wapi
where are you going
Nitaenda __
I am going to __
Si
not
Kwanza
fest
Leo ni tarahe ngapi
what is the date today
tarahe
date
Mwaka/Miaka
year/years
mwezi huu
this month
mwezi ujao
next month
mwaka ujao
next year
safari
travel
fika
arrive
wanyamapori
wild animals