Greetings Flashcards
Hujambo?
sijambo
hajambo?
hajambo
hamjambo?
hatujambo
hawajambo?
hawajambo
habari?
nzuri or poa (cool)
habari gani?
nzuri or njema or salama
habari gani juma?
nzuri sana or hivi hivi
habari za leo?
(asubuhi,mchana,jioni)
nzuri sana
habari za jamma?
(nyumbani~home)
(masomo~ lesson/hw)
nzuri or mbaya
habari za kazi (work)?
nzuri or mbaya
Q: Habari gani?
A: Nzuri, habari zako/zeno? (and yours?)
nzuri
Q: Habari gani?
A: Nzuri, _____?
habari za yako/yenu? (and your?)
U hali gani?
(singular)
What’s your condition?
mimi ni mzima (Im healthy)
or sina neno (I have no words)
or salama (peaceful)
or hali yangu nzuri (my situation is good)
M hali gani?
(plural)
What’s y’all condition?
sisi ni wazima (we are healthy)
or hatuna neno (we have no worries)
Shikamoo___mzee___?
marahabaa mwanangu. Hujambo?